HABARI KUBWA

KIKOSI CHA WANAMAJI WAKAMATA BOTI 2 ZIKISAFIRISHA MAFUTA YA KULA

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA


Jeshi la Polisi Kikosi cha Polisi Wanamaji kinaendelea na ufuatiliaji maalum kuanzia Mei  hadi Juni, 2024 katika kudhibiti uhalifu ukanda wa Bahari ya Hindi.

Katika ufuatiliaji huo kikosi kazi cha Polisi Wanamaji Dar es salaam kikitumia boti za Polisi walifanikiwa kukamata majahazi mawili, MV. UKIMAINDI POA na jahazi lingine lisilokuwa na jina wala namba za usajili katika bahari ya Hindi, Dar es Salaam yakiwa na watuhumiwa wanne akiwepo Nahodha Masoud Rajabu wakiwa wamebeba mafuta ya kupikia dumu 1731 zenye ujazo wa lita 20 kila moja wakiwa na nia ya kukwepa ushuru wa forodha.


Uchunguzi wa awali wa.

Tangaza hapa-3
Email
Twitter
META
WhatsApp

KIKOSI CHA WANAMAJI WAKAMATA BOTI 2 ZIKISAFIRISHA MAFUTA YA KULA

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Jeshi la Polisi Kikosi cha Polisi Wanamaji kinaendelea na ufuatiliaji maalum kuanzia Mei  hadi Juni, 2024 katika kudhibiti uhalifu ukanda wa Bahari ya Hindi. Katika ufuatiliaji huo kikosi kazi cha Polisi Wanamaji Dar es salaam kikitumia boti za Polisi walifanikiwa kukamata majahazi mawili, MV. UKIMAINDI POA

WAZIRI MKUU: TUNATAKA KILA MWANANCHI APATE KITAMBULISHO CHA TAIFA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema mkakati wa Serikali ni kumwezesha kila Mtanzania apate kitambulisho cha Taifa akiwa kijijini kwake. Amesema hayo leo (Alhamisi, Mei 11, 2023) bungeni wakati akijibu swali la Mbunge wa Biharamulo Magharibi, Mhandisi Ezra Chiwelesa kwenye kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu.  Mbunge

BIASHARA

TIRDO NA REPOA KUANDAA KOZI YA UZALISHAJI MKAA MBADALA

TIRDO na REPOA imeandaa kozi ya mafunzo ya uzalishaji wa Mkaa Mbadala (Biomass Briquettes) ambayo ni nishati safi kwa matumizi ya majumbani, taasisi na hata viwandani. Mafunzo hayo yanalenga kuimarisha umuhimu Kwa ustawi wa uchumi na